Wananchi wa kijiji cha Nata, wilaya ya Nzega wamsubilia mh.Lowassa barabarani ili waweze kumuona na kumsalimia
Mh. Lowassa akiwasalimia wananchi wa Nata |
Mh. Lowassa akiwa juu ya gari ili kuweza kuwaona na kuwasalimia wananchi wenye kiu ya Maendeleo |
Wazee vijana kwa watoto wakitafuta njia ya kuonana na Mh.Lowassa |
No comments:
Post a Comment
4U Movement wanakuomba kufuata maadili ya Kitanzania, Karibu !