Wednesday, 10 June 2015

4U Movement wakiwa mkoani Simiyu

4U movement jumatano tarehe 10 2015 waliungama mh. Lowassa moani Simiyu kuhakikisha kazi ya kuwapata wadhamini inakuwa rahisi kabisa. vijana hao kwa nia moja ya kuliletea maendeleo Taifa la Tanzania wameendelea kuifanya kazi bila kuchoka
4U Movement wakiwa ndani ya Simiyu tayari kabisa kumpokea mh. Lowassa
Thanks Saana 4U Movement Simiyu kwa kazi nzuri.



Vijana wa 4U Movement wakipata picha ya pamoja kabla ya zoezi kuanza
watu ni wengi kweli kweli wakimsubilia mh. Lowassa

Mambo mambalimbali yakiendelea wakati wa kupata udhamini wa wanaCCM wa Simiyu



No comments:

Post a Comment

4U Movement wanakuomba kufuata maadili ya Kitanzania, Karibu !