Mh. Edward Lowassa, akiwa juu ya gari lake, akiwapungia mamia ya wana CCM waliofika kumdhamini huko Lamadi, wilaya ya Busega mkoani Simiyu, pamoja na wananchi wengine. Mh. Lowassa, aliwasili huko Jumatano Juni 10, 2015. Mh Lowassa kwa sasa anaendelea na zoezi la kutafuta wadhamini kanda ya ziwa
|
Mh. Lowassa akiwasalimia wananchi waliojitokeza kumlaki huko Simiyu
Simiyu tunawashukuru saana, mmetupokea vizuri na mmeonyesha kuwa mto na sisi katika safari ya matumaini ya mh. Lowassa.
|
|
Mh. Lowassa akiwasalimia wananchi akiwa ndani ya gari, watu ni wengi kwelikweli huku woote wakihitaji kumuona mpendwa wao |
|
wana CCM wa Simiyu wakimkaribisha Mh. Lowassa |
|
Mh. Lowassa akipokea form za udhamini kutoka kwa kada wa CCM, kweli Mh. wananchi wako na wewe katika safari ya matumaini |
|
Wazee kwa vijana, wanachama wa ccm na wasio wa ccm woote walikuwepo kuhakikisha wanakutana na mh. Lowassa huko Simiyu |
|
Akina mama wakishangilia baada ya kuona na mh. Lowassa, hawa wanajua kuwa safari ya matumaini ya Tanzania ndio imeanza hivyo hawana budi kufurahia kabisa |
|
Vijana wakicchukua picha za kumbukumbu mbali mbali na mh. Lowassa |
|
Mh. Lowassa akiaga ndugu na wananchi kwa ajili ya kuendelea kutafuta wadhamini sehemu nyingine |
No comments:
Post a Comment
4U Movement wanakuomba kufuata maadili ya Kitanzania, Karibu !