Wednesday, 10 June 2015

Bariadi nako Wafunika

Wana bariadi nao hawakuwa nyuma katika kumpokea mpendwa wao Mh. Edward Ngoyai Lowassa Watu wamejitokeza kwa wingi kuhakikisha zile sahihi 450 zinapatikana kirahisi saana Tunawashukuru saana na tuko pamoja nanyi katika safari yetu hii ya matumaini kwa Watanzania
Hivi ndivyo ilivyokuwa huko Bariadi katika kumdhamini Mh. Lowassa


Usalama pia ulikuwa wa hali ya juu ili mambo yaweze kwenda sawia kabisa

Katika kuhakikisha kazi inafanyika kiwepesi na kuwafikia watanzania woote popote walipo


Huu ni msafara wa gari pia zilizokuwepo katika kuhakikisha mambo yanafanikiwa

No comments:

Post a Comment

4U Movement wanakuomba kufuata maadili ya Kitanzania, Karibu !