Wednesday, 10 June 2015

4U Movement watoa semina elekezi Same kuhusu umuhimu wa kupiga kura

4U Movement ndani ya Same leo, tukitoa semina kwa marafiki wa Lowassa juu ya umuhimu wa kujihandikisha kwenye daftari la kudumu, umuhimu wa kupiga kura na kujagua viongozi bora kwa ajili ya maendeleo ya Taifa, na baadae tulitembelea Gereza la Same na kutoa Misaada ya kijamii kwa wafungwa.
4U Movement wakitoa semina kuhusu upigaji wa kura

4U Movement wakitoa Misaada Gereza la Samae

Semina za kuhusu upigaji kura zikiendelea



Watu mbalimbali walioudhurua semina wakipongezana na watoa mada





No comments:

Post a Comment

4U Movement wanakuomba kufuata maadili ya Kitanzania, Karibu !