Friday, 12 June 2015

Mafuriko ya Nzega yatisha

Watu wengi saana wamejitokeza leo katika zoezi la kumdhamini mh. Lowassa huko Nzega, hali hii ni ya kutia matumaini sana, kweli Nguvu ya Umma imeamua kuleta mabadiriko kupitia kwa mh.Lowassa


Vijana wa Nzega wamkalibisha mh.Lowassa kwa ujumbe wa kumuomba aendelee kuwapigania







Watu wa nzega wakiwa na mh. Lowassa



Mh.Lowassa akiwa wilayani Nzega na mwenyeji wetu , ndugu yetu mh. Bashi


watu wamejitokeza wengi saana kumdhamini mh.Lowasaa

No comments:

Post a Comment

4U Movement wanakuomba kufuata maadili ya Kitanzania, Karibu !