mh. Lowassa ameendelea kuonyesha kuwa yeye ndo tegemeo na kiongozi anayehitajika kwa sasa Tanzania, hii imetokea mkoani Tabora baada ya watu wengi saana kujitokeza kutaka kumuona na kuzungumza naye. Pamoja na kuhitaji wadhamini 30 tu kila mkoa. Mh Lowassa jana amevunja record yake mwenyewe ya kupata wadhamini wengi baada ya kupata wadhamini zaidi ya 9000 mkoani Tabora, hii kweli inaonyesha watanzania wanamuhitaji kwa ajili ya maendeleo ya Tanzania
|
Mkoani Tabora, wananchi wamejitokeza kwa wingi saana kumdhamini mh. Lowassa na kuonyesha kuwa Lowassa ndo kipenzi chao
|
|
Misafara ya pikipiki ilikuwa mikubwa saana ikimkaribisha Mh. Lowassa |
|
Foleni za kwenda kukutana na kumdhamini Mh. Lowassa zilikuwa kubwa saana, ila wana Tabora hawakuona shida kuhakikisha waafanikisha safari ya Matumaini |
|
Mh.Lowassa akiwasalimia wananchi waliotaka asimame na kuwasalimia |
|
watu ni wengi saana, wanachama wa ccm na wasio wanachana woote wameungana katika kuhakikisha safari yetu ya matumaini inafanikiwa |
|
Akina mama, vijana, wazee woote wakionyesha kuwa pamoja na mh. Lowassa katika safari ya matumaini |
|
watu wakiendelea kumdhamini hm.Lowassa mkoani Tabora |
Mungu mbariki lowassa
ReplyDelete