Saturday, 13 June 2015

Daaah, Kigoma nako wametisha

Mh. Lowassa leo alikuwa kigoma kutafuta wadhamini, kwakweli hali ilivyokuwa ni ajabu saana. watu ni wengi saana tena saana wakitaka kuongea na Mh.Lowassa kila mahali, tunawashukuru saana wana Kigoma kwa kuungana na Mh.Lowassa katika safari hii ya matumaini
Umati wa watu ni mkubwa sana uliojitokeza kwenye ofisi za CCM mkoa kumdhamini mh. Lowassa



Zoezi la kuendelea na udhamini likiwa bado linaendelea kwenye makao makuu ya ccm

WanaCCM na wananchi kwa ujumla wakiwa wanafuatilia Zoezi la udhamini wa Mh.Lowassa


Mh.Lowassa akiongea na wananchi katika ofisi za CCM za mkoa wa Kigoma

Mh.Lowassa akipokea form za udhamini kutoka kwa viongozi wa CCM wa Mkoa wa Kigoma

No comments:

Post a Comment

4U Movement wanakuomba kufuata maadili ya Kitanzania, Karibu !