Monday, 15 June 2015

Mh.Lowassa akutana na mafuriko ya Bukoba

Mh.Lowassa leo amekutana na wananchi wa Bukoba, wananchi wametokseza wengi saana kwa ajili ya kuongea na Mh. Lowassa na kumdhamini, Tunawashukuru saana wananchi wa Kagera kwa kujitokeza kwa wingi katika kufanikisha safari yetu ya Matumaini

Wananchi wa Bukoba wakisalimiana na mh. Lowassa baada ya kufika Bukoba akitokea Kigoma


Mh. Lowassa akipata maeleze kutoka kwa viongozi wa CCM wa mkoa

Wananchi ni wengi saana na kila mtu anataka kuhakikisha anakuwa sehemu ya mabadiriko ya Tanzania


Mh.Lowassa akizungumza na wananchi wa Bukoba na kuwapa neno kidogo wakati wa udhamini, pia Lowassa amewaomba wananchi kujitokeza kwa wingi kwenda kujiandikisha kwa ajiri ya kupiga kura.

No comments:

Post a Comment

4U Movement wanakuomba kufuata maadili ya Kitanzania, Karibu !